Intro | Tanzanian politician |
Is | Politician |
From | Tanzania |
Type | Politics |
Gender | male |
Politics | Party of the Revolution |
Jaku Hashim Ayoub ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Ameingia katika bunge la Tanzania kama mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020.