Intro | Tanzanian politician |
Is | Politician |
From | Tanzania |
Type | Politics |
Gender | female |
Birth |
23 December 1980 |
Age | 40 years |
Politics | Party of the Revolution |
Hon. Neema William Mgaya (amezaliwa 23 Disemba 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum kwa miaka 2015 – 2020.